kwamamaza 7

Dr.Kizza Besigye amewasiliana na wanawake wanao mpinga rais Trump

0

Siku kuu ya sherehe kimataifa ya wanawake, tarehe 8 Mach 2017, Dr.Kizza Besigye mpinzani wa serikali ya Uganda aliwasiliana na wanawake wanao mpinga rais wa Marekani  Donald Trump katika maandamano mjini New York.

Dr.Besigye alionekana akivaa nguo nyekundu kama vazi la maandamano na aliitiya kwenye ukarasa wake wa twitter eti “ni wakati wa kuongoa tabia ya kutoazibu mahali pote” kama vile husema Chimpreports.

Maandamano hayo yalijulikana kwa jina la “A Day Without a Woman” (siku bila muke), walikuwa wakipinga utawala wa rais mpya Trump na walikuwa mbele ya Gorofa ya rais Trump.

Wengine walio andamana walikutania Washington Square Park  na katika miji tofauti za Marekani.

Wanawake karibu miliyoni ndio wameshiriki maandamano na lengo ilikuwa kuwania sheria yao kwa ajili ya mishahara, utumiaji wa dawa za kukinga ujauzito na utoaji mimba, wanaomba Trump kutimiza mahitaji yao.

Msemaji wa walio tayarisha maandamano  Cassady Findlay alisema ya kuwa ni moja ya kuhamasisha uchumi wa nchi na namna wake wanafanya kazi ila malipo yanakuwa mabaya na wakati mwengine wanakosa.

Maandamano hayo ndio ya kwanza kubwa baada Donald Trump kuteuliwa kuwa rais wa Marekani.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.