Home HABARI MPYA Diwani wa wilaya ya Kamonyi na Rubavu wachaguliwa
HABARI MPYA - SIASA - November 17, 2017

Diwani wa wilaya ya Kamonyi na Rubavu wachaguliwa

Wilaya ya Rubavu,mkoa wa magharibi na wilaya ya Kamonyi,mkoa wa kusini mwa nchi zimepata viongozi baada ya miezi mitatu zikiongozwa na diwani makamu kwa wajibu wa mali.

Diwani mpya wa wilaya ya Kamonyi ni mwanamke Alice Kayitesi, 37, aliyekuwa afisa wa ofisi ya upelelezi  nchini(NISS) wa wilaya ya Muhanga.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pengine,wilaya ya Rubavu imepata diwani mpya kwa jina la Gilbert Habyarimana,44, aliyekuwa mkurugenzi wa ofisi ya maendeleo ya vyama vya ushirika nchini (RCA).

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haya ni baada ya viongozi wa wilaya ya Rubavu,Jeremie Sinamenye na wa wilaya ya Kamonyi,Aimable Udahemuka kujiuzulu .

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.