Swahili
Home » Diego Maradona akataliwa kuingia nchini Marekani
BURURUDANI

Diego Maradona akataliwa kuingia nchini Marekani

Aliyewahi kuwa gwiji wa mchezo wa kandanda kutoka Argentina,Diego Maradona amekataliwa kupata Visa ya kuelekea marekani kwa sababu  ya maneno aliyoyatangaza kuhusu Rais wa Marekani,Donald Trump.

Akizungumza na televisheni moja nchini humo, Maradona alimuita Rais Trump kuwa ni “Chirolita” yaani kitu chenye thamani duni.Hili ni zaidi ya maonyo ya mwanasheria wake Matia Morla aliyemshauri kutozungumza lolote kuhusu Marekani

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Pia The Sun imetangaza kwamba hii si mala ya kwanza Maradona kukataliwa kufika nchini Marekani kwa kuwa aliwahi kurudishwa kwao baada ya kufeli uchunguzi wa matumizi ya dawa za kulevya wakati wa michuano wa kombe la dunia mwaka 1994.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

 

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com