Home BURURUDANI Diamond Patnumz na Professor Jay wafunguka kuhusu ndoa ya AY na Mnyarwanda
BURURUDANI - February 12, 2018

Diamond Patnumz na Professor Jay wafunguka kuhusu ndoa ya AY na Mnyarwanda

Baada ya msaani kutoka Tanzania Allen Yessayah maarufu kama AY kufunga ndoa na msichana kutoka Rwanda, Rehema Umunyana maarufu kama Remmy,wasanii kama Diamond na Professor Jay wametangaza maoni yao kuhusu tukio hili.

Mmoja wao Diamond Platnumz kupitia mtandao wa kijamii amewatakia heri na fanaka

Diamond ameandika” diamondplatnumzSuper Congrats Legend…. Mwenyez Mungu Awajalie Ndoa Yenye Furaha, Amani na Baraka tele @aytanzania”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia mwenzake mbunge wa Mkumi, Joseph Haule maarufu kama  Professor Jay amempongeza kwa hatua aliyopiga kupata jiko kwa kprofessorjaytzHongera sana Mdogo wangu @aytanzania na mkeo @remyrwanda kwa hatua hii muhimu ya Kufunga Pingu Maisha, Mungu awasimamie na awabariki zaidi na zaidi muwe na maisha Mema yenye furaha na baraka tele@fundifrank @moshiiri Wakujipekecha mmetisha sana

Pengine, Wasanii na watu mashuhuri nchini Tanzania wamempongeza AY kwa kukamilisha tukio hilo tukufu.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.