Swahili
Home » Diamond kuweka hadharani albamu yake mwezi ujao
BURURUDANI

Diamond kuweka hadharani albamu yake mwezi ujao

Muimbaji Diamond Platinum hatimaye ameamua kuweka hadaharani album yake ‘A Boy From Tandale’ mwezi Machi 2018.

Albamu hii yenye  nyimbo takriban 2o, inatarajiwa kutua rasmi mwezi ujao tarehe 16 inaundwa na nyimbo alizowashilikisha wasanii kama Ne-yo,Omarion na Rick Ross pamoja na zingine alizoimba mwenyewe kama vile Niache na Sikomi.

 

Meneja wa Diamond,Sallam SK kupitia Instagram ameweka wazi hili ili kusiadia wale ambao wanataka kununua albamu hii kabla ya ile tarehe iliyotajwa hapo juu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Diamond anatarajia kuweka wazi hii albamu  baada ya kuachana na mzazi mwenzake Zari Hassan ila anaonyesha kuendelea licha ya hili.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com