kwamamaza 7

Diamond awaonya wanawe kutofunga ndoa na wasichana “vijuso”

0

Muimbaji Diamond Platnumz amewashauri bin zake yaani Nillan na Abdul Naseeb kutowaoa waschana wasio na urembo.

Kupitia Instragm,Diamond baada ya kuorodhesha mali yote anayomiliki kama vile Wasafi Records,TV na Redio,huyu mzazi amewaomba wanawe kutii uzuri waliorithi kwa mama wazazi wao na kuwa kufanya kinyume na huu ushauri itakuwa ni kumleta huzuni moyoni.

Bin Diamond Nillan na Abdul Naseeb

Diamond ameandika”Pamoja na uzuri mliorithitoka kwa mama zenu halafu mkaenda kuniletea wakwe vijuso…mtanisikitisha”.

Alichoandika Diamond

[xyz-ihs snippet=”google”]

Sikawaida msanii Diamond Platinumz kuwasilisha picha za wanawe kwani aliwahi kulifanya hili mala moja tu alipowasilisha picha ya bin Mobetto,Kwa mala hii amewasilisha picha mbili za wanawe.

Pengine kuorodhesha mali yake ni dalili ya kuwa hawa watakuwa warithi wake.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.