kwamamaza 7

Diamond atangaza kuwa njia panda kwenye sikukuu ya wapendanao,Zari au Mobetto?

0

Muimbaji Diamond Platnumz ametia wazi kukiri kuwa hajajua bado atakuwa na nani kwenye sikukuu ya wapendanao.Ila wengi wameanza kujiuliza nani Kati ya Zari Hassan maarufu kama The Bosslady ama Hamisa Mobetto.

Mkurugenzi wa label ya WCB,Diamond Platinumz kwenye mahojiano na Dizzim online ametangaza kuwa hajajua atasherekea nani kwa sasa kwenye siku ya wapendanao kesho.

Diamond amesema”

Maneno yake Diamond Platnumz

 

Pengine Zari ndio mwanamke pekee ambaye Diamond amemkubali kuwa anaweza kusherekea naye sikukuu ya wapendanao kesho kama ilivyotangazwa na ghafla.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.