kwamamaza 7

Dawa za kulevya ni janga kubwa dunia nzima-Rais Kagame

0

Rais Kagame ameweka wazi kuwa dawa za kulevya  ni janga kubwa hasa kwa vijana hususani nchini Rwanda.

Rais Kagame kwenye mwisho wa mkutano wa ‘Umushyikirano’ kwenye hotuba yake ameleza kuwa watu walichelewa kujadili suala hili vilivyo kulingana na uzito wake.

Pia Rais Kagame amewataka watu kupambana na suala hili ambalo linaathiri hata watu wazima ila haina budi kutia nguvu nyingi kwa vijana ambao ni kizazi cha siku za usoni.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Dawa za kulevya ni janga kubwa dunia nzima,hii ni fursa ya kufikiri kuhusu jambo hili linalokumba kila jambo”Rais Kagame amesema.

Kulisikika mala nyingi  watu wanaotumia dawa za kulevya hasa kwa vijana,ila serikali ya Rwanda ilifanya jitihada nyingi kwa kupambana na jambo hili  kama vile kanuni za kuadhibu wachuuzi na watumiaji wa dawa za kulevya na mengine.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.