kwamamaza 7

Dawa za kulevya na biashara haramu vimenaswa katika msakao sehemu tofauti

0

Polisi ya Rwanda ilifanya msako mwishoni mwa wiki nenda katika wilaya ya Huye, Kirehe, Gicumbi na Nyanza na walikamata dawa za kulevya aina tofauti na biashara haramu.

Ntirenganya Jean Claude alikamatwa akiwa katia tarafa ya Gahara wilaya ya Kirehe akiwa na biashara haramu ya bokse 16 na chupa za Novida 12.

Niyigena Emmanuel na Ntireganya Jean Baptiste wenyeji wa Gicumbi walikuwa na boxes 16 za Chief Waragi, wallikuwa katika kata ya Bwisige.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Uwarurama Emmanuel alikamatwa katika kata ya  Mukingo , wilaya ya Nyanza akitengeneza pombe haramu, alikuwa na lita 500 ya muriture, mwezake Sembeba Joseph akiwa na lita 100 za Muriture.

Huye waliyokamatwa ni Ngenzo Fulgence na Habineza Faustin wakiwa na katani wote wakiwa wa kata ya Ngoma. Kata ya Gishamvu, nyumbani kwa Bendo Emmanuel alikuwa na lita 240 za muriture, Hahirwabitonda yeye akiwa na lita 230 za Muriture. Hao wawili walikosekana kwa sababu wakati wa msako hawakuwa nyumbani kwao.

Kiongozi wa polisi stesheni ya Ngoma Chief Inspector of Police (CIP) Protais Rwiyemaho alisema wakati wanakamata watu na dawa za kulevya na pombe haramu, mbele pombe hio haramu huchunguzwa na kama hukutwa na kuona kama si njema kwa afya ya mtu, hapo hufikishwa mahakamani.

Rwiyemaho alisema ya kwamba kufanya hayo huleta umaskini, kwa sababu wakati hukamatwa wanateketeza, mwenyji anafungwa na anatoa garama. Alimalizia akitoa ujumbe akisema ni vizuri kutofanya usafirisaji wa dawa za kulevya, kuzuia na kupana taarifa mapema.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.