kwamamaza 7

DASSO wamehakikisha kutoa huduma nzuri

0

Ngazi za kusaidia wilaya kuchunga  usalama DASSO, 56 ambao hufanya kazi zao katika wilaya ya Nyamasheke  wamehakikisha kufanya huduma nzuri na kupaa kutoka salimia 83 na kwenda juu kama vile ilitolewa na ripoti ya RGB.

Hayo wameyakubali wakati walikuwa kwenye mkutano pamoja na kiongozi wa wilaya ya Nyamasheke Kamali Aimé Fabien tarehe 30 Januarai 2017, pamoja na kiongozi wa DASSO ngazi ya nchi  Chief Superintendent of Police (CSP) Sam Rumanzi.

Kamali aliwaomba kuwa na tabia nzuri katika huduma zao na kupiganisha rushwa na kuwasaidia wakaaji na ndipo watawatumaini.

[xyz-ihs snippet=”google”]

CSP Rumanzi alitiliya mkazo kwa uhusiano wa ngazi na uongozi wa mwanzo wa wakaaji, ngazi ya polisi na wengine, ili uhusiano uwe mwema na kutoa taarifa mapema ili kuzui makosa, aliwashukuru wa DASSO namna wanavyo jitoa kwa huduma yao katika wilaya yao wakiwa na tabia njema ndani ya kazi hata mahali pengine kawaida.

Habimana Innocent; mratibu wa DASSO, ameshukuru kwa mashauri mema walio pewa na kusema kuwa yale walioshauriwa watatia kwa matendo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.