Home DINI Cyangugu:Padri Alphonse Kabera auawa, chanzo cha kifo chake utata
DINI - HABARI MPYA - September 26, 2017

Cyangugu:Padri Alphonse Kabera auawa, chanzo cha kifo chake utata

Padri wa parokia ya Cyangugu, magharibi mwa nchi Alphonse Kabera ameuawa ghafla lakini kifo chanzo cha kifo chake hakijatambulika.

Malehemu padri Alphonse Kabera

Mwili wake umepatikana nyumbani kwake tarehe 26 Septemba 2017.

Tangazo la askofu Vincent Bimenyimana

Msemaji wa polisi ya Rwanda mkoa wa magharibi,IP Eulade Gakwaya amethibitisha habari hizi kwa kutangaza kwamba padri Kabera aliuawa alipokuwa nyumbani kwake na kuwa tukio hili litafanyiwa ufuatiliaji.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Malehemu atazikwa kesho kulingana na tangazo la askofu Vincent Bimenyimana.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.