Swahili
Home » Cristiano Ronaldo awalumu mashabiki wa Real Madrid kwa kumzomea Benzema
BURURUDANI

Cristiano Ronaldo awalumu mashabiki wa Real Madrid kwa kumzomea Benzema

Mchezaji mahiri wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ameonyesha kutofurahia kitendo cha mashabiki wa timu yake kumzomea mchezaji mwenzake Karim Benzema.

Kwa kutingisha kidole na kichwa,Cristiano Ronaldo amepinga tukio hili la mashabiki wa Real kumzomea Benzema baada ya kushindwa kufunga goli la wazi kwenye mchezo na Real Sociedad.

Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane Yazzid ameeleza kuwa hajui sababu gani mashabiki wanafanya haya.

Wanaweza kufanya lolote watakalo”Zidane ameteta

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia Zidane ametangazia The Dailymail kwamba jambo muhimu kwake Benzema ni mchezo ujao.

Mchezaji Karim Benzema amemaliza mechi saba bila kufunga goli,alifunga goli sita katika michezo 25.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com