kwamamaza 7

Chui zimemsambua mume mbele ya mke na watoto –Picha

0

Mutali ajulikanaye kwa jina la Zhang alisambuliwa na chui za hifadhi alipokua akitembeya pamoja na jamii lake alipojaribu kupitia njia panya pila malipo.

Zhang ni mwenye ukoo wa China, alikua pamoja na jamii lake ila yeye kakataa kulipa Euros 15 ili apite njia inayokubaliwa na watali ambao huja siku kwa siku kutembela wanyama hao.

chui1

Alipo jaribu kuingia kati upango, chui tatu zilimushika na kumusambuasambua bado kutembea hata meta 20, wakihuzuria jamii yake na wengine watali hapo kwenye ufugo wa wanyama hao.

chui3

Wengine ambao walitamani nao kupita njia hio bila kulipa, walipo ona hayo walibadili msimamo wao na kurudi nyuma.

Zhang ameaga dunia akiwa na mke mmoja na watoto wawili, wao walikua wamepita njia halali ya kulipa pesa ili kuingia katika hifadhi hio ya wanyama, ila walinzi waliua chui moja kwa risasi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.