kwamamaza 7

Cheti cha kwendesha gari jamii D kitabadilishwa kiwe D1

0

Kundi la polisi ya Rwanda wenye kujali usalama barabarani wanaomba kila raia ambaye alipata cheti cha kuendesha gari jamii D mbele ya mwaka wa 2009, kuelekea kwenye kikosi cha usalama barabarani kwa ajili ya kubali vyeti vyao na kupewa vyeti vya jamii D1 kama vile ilitiwa mhuri na rais katika gazeti namba 12 ya tarehe 23 Machi 2009.

Kama ilivyo kuwa, cheti cha jamii D, hukubaliwa kuendesha gari yenye kuwa na viti vya kuketi watu zaidi ya nane hadi thelathini bila mwendesha gari, lakini cheti cha jamii D1, hukubaliwa kuendesha ukiwatwaa watu zaidi ya 30.

Mbele cheti hiki cha D, kiliruhusu mwendesha gari kuwatwala watu tangu wanane kupanda juu bila shida lolote.

Kiongozi wa kikosi hicho cha usalama wa barabara ameomba wote ambao wapo na vyeti vya jamii D, walivyopewa mbele ya mwaka wa 2009, mwezi Machi, tarehe 23, kuharikisha ili wapate jamii D1 ili aweze kuendesha kama kawaida.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Wahusika wanaombwa kupeleka nakala ya cheti D ambacho kiliwasaidia kuendesha, nakala ya kitambulisho na kibarua cha kuomba cheti cha jamii D1 kwenye kikao cha polisi karibu na muhusika.

CIP Kabanda amemalizia na kusema kuwa wale ambao walipata vyeti baada ya tarehe 23 Machi 2009, watafanya tena mtihani ili waweze kupata vyeti vya jamii D1.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.