Cheik Tioté aliyechezea timu mbalimbali ikiwemo Newcastle ya Uingereza yaaga dunia baada ya kuanguka chini akiwa mzoezi.

Taarifa hii ilitangazwa na vyombo mbalimbali vya uchina ambako alikuwa akichezea timu ya Beijing Enterprises ( D2), Baada ya kuihama timu ya Newcastle ambako alishinda misimu saaba.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mchezaji huu kinara kutoka Ivory Coast mwenye umri wa miaka 30, amefariki hospitali baada ya kuanguka kiwanjani akiwa mazoezi.

Tioté alikwenda kuchezea Uchina mwezi Aprili wa 2017 akitoka nchini Uingereza ambako aikuwa akichezea timu ya Newcastle. Tioté aliwahi pia kuchezea timu mbalimbali ikiwemo Anderlect ya Ubelgiji kutoka 2005-2008, alikwenda Roda JC kwa mkopo. Musimu wa 2007-2008A,ambako alihama kwenda FC Twente na baadaye akaenda Newcastle ambako alitoka akienda Uchina mwaka wa 2017 mahali ampapo alifariki.Vingine ni kwamba aliwahi kutwaa Ubingwa wa AFCON ambao timu yake ya Ivory Coast ilishinda mwaka wa 2015.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.