Swahili
Home » Changamoto nyingine zaibuka kwenye kesi ya Diane Rwigara na mzazi wake
HABARI MPYA

Changamoto nyingine zaibuka kwenye kesi ya Diane Rwigara na mzazi wake

Kesi ya Diane Rwigara na mama mzazi wake Adeline Mukangemanyi imeendelea leo tarehe 22 Mei ila wanasheria wao wameelezea mahakama kuwa inastahili washtakiwa wengine kwenye hii kesi wafikishwe mahakamani.

Mwanashera wa Adeline Mukangemanyi,Me Gatera Gashabana amesema washtakiwa wakiwemo  Mugenzi, Thabita Gwiza(shangazi wa Diane Rwigara),Mukangarambe Xaverine, Bushayija Edmond maaarufu kama Sacyanwa na Jean Paul Turayishimiye(Msemaji wa RNC) wanapaswa kufikishwa mahakamani kwa kuwa uamuzi wa kesi hii unawahusu.

Pia Mwanasheria wa Diane Rwigara,Me Buhuru Celestin amesema mwendeshtamashtaka hana budi kuwaita mahakamani na kesi hii ikaendelea baada ya miezi miwili.

Kwa upande wa mwendeshamashtaka, Faustin Nzakamwita amefafanua hawa wote hawana anuani yao rasmi kwa kuwapatia hati za kuwakamata.

Diane Rwigara aliyewania ugombea wa uarais mwaka 2017 anashtakiwa matumizi ya hati bandia na uchochezi.Mama yake Adeline Rwigara pia anashtakiwa uchochezi na kugawa watu. Hata hivyo,washtakiwa walilaani haya mashtaka kwa kueleza ni ajili za kisiasa.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song update

shttps://youtu.be/UxzQ8Mt-x5U

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com