kwamamaza 7

Chama cha RPF kilianzishwa kwa sababu ya matatizo yaliyokuwa nchini Rwanda-Rais Kagame

0

Kagame amesema kuwa chama cha RPF kilianzishwa kwa sababu ya matatizo kadhalika yaliyokuwa nchini Rwanda kutokana na siasa mbaya ya viongozi wa wakati huo.

Kwenye sherehe ya kusherekea sikukuu ya miaka 30 ya chama cha RPF-Inkotanyi leo tarehe 14 Disemba 2017,Rais Kagame amesema kuwa kuna hatua nzuri iliyopigwa husika na bidii iliyotumiwa ili kubadili historia ya Rwanda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Kagame amesema”Chama cha RPF kilianza kwa sababu ya matatizo mengi yaliyokuwa nchini kutokana na siasa mbaya kama vile ubaguzi,kutokuwa na mwelekeo,ukiuakaji wa haki za binadamu,usalama(…)”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Kagame ameongeza kuwa ilibidi ukakamavu na kujitoa mhanga ili kupata uhuru pamoja na kupambana na changamoto zilizozuka baadaye.

Pia,Rais Kagame amewakumbusha wanachama kutolegeza.

Chama cha RPF kilianzishwa nchini Uganda kwa jina la RANU(Rwandese Alliance for National Unity) mnamo mwaka 1979 kisha kikageuka RPF(Rwanda Patriotic Front) mnamo mwaka 1987.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.