kwamamaza 7

Chama cha Green Party chaanza kuwatafuta watakaowania uchaguzi wa wabunge

0

Chama cha kutetea demokrasia na mazingira nchini Rwanda (Green Party) kimeanza mambo ya kutafuta wagombea wa uchaguzi wa wabunge utakaotokea mwaka 2018 katika wilaya na mikoa.

Mambo haya yameanzia katika wilaya ya Gicumbi, mkoa wa kaskazini wilaya ya Nyamasheke mkoa wa magharibi na Ruhango mkoa wa kusini.

Mwenyekiti wa chama hiki,Dkt.Frank Habineza ameleza kuwa chama hiki  kitawakilishwa na watu wawili yaani mwanamke na mwanamume kwenye kila wilaya na mmoja kila mkoa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Amendelea kwa kusema kuwa mambo ya kuchagua wagombea yataendelea katika wilaya nyingine za nchi wakati wa siku zisizo za kazi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Chama cha upinzani cha Green Party ndicho kilichotoa mgombea wa uchaguzi wa urais uliotokea mwezi Agosti mwaka huu na kupata nafasi ya tatu.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.