kwamamaza 7

Canada yamhamasisha nchini Rwanda mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari

0

Mahakama ya Rwanda imehakikisha kwamba Seyoboka Henri Jean Claude anayetuhumiwa kuhusika katika mauaji ya Kimbari atafikishwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa Kigali saa sita za mchana kutoka Canada ili aweze kuhukumiwa kwa ajili ya madai ya kushirika katika mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi mnamo 1994.

Seyoboka mwenye umri wa miaka 50, mnamo mwaka wa 1996 ndipo alipata vitambulisho vya ukimbizi ila kabla ya miaka 10 akanyanganywa tena kwa sababu alikuwa akishitakiwa mauaji ya Kimbari na madhambi mengine aliyoyafanya katika kata ya Rugenge wilaya Nyarugenge mjini Kigali.

[ad id=”72″]

Alianza kufuatiliwa mwaka 1998 wakati walitoa ushuhuda kwa ajili yake wakati wa mahakama dhidi ya mauaji ya Kimbari huko Arusha (ICTR). Mwaka wa 2002 ndipo ICTR ilimjurisha Seyoboka kwamba kuna mtu mmoja aliyeshuhudia kwamba Seyoboka alimuua mke wake na watoto wawili.

Seyoboka katika jeshi la EX-FAR alikuwa na cheo cha Luteni, na alihukumiwa na mahakama ya GACACA ya wilaya Nyarugende kufungwa miaka kumi na tisa alipokuwa kando.

Tangu mwaka wa 2006 ndipo walihitaji kumtuma Seyoboka nchini Rwanda, ila tarehe 19 mwezi Mei mwaka huu ndipo Canada waliamua kumhamasisha nchini Rwanda ili ahukumiwe na mahakama ya Rwanda.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.