kwamamaza 7

Burundi:Tanuru lafikra lawaka baada ya mtoto wa miaka tisa kutoa msaada wa uchaguzi wa rais

0

Kisa cha mtoto wa umri miaka tisa aliyetoa msaada wa fedha zitakazotumiwa katika uchaguzi wa rais nchini Burundi kimesukuma wakazi na wanachama wa mkoa wa Ngozi,kaskazini mwa nchi kutoa maoni mbalimbali.

Akizungumza na VOA,mwanamke mmoja ameleza kuwa kitendo cha mtoto changa huyu ni cha uzalendo na kuwa anafikiri kwamba huyu anaweza kuwa si raia wa Burundi.

Pia, wakazi wengine wametangaza kwamba mtoto alichokifanya si mawazo yake na kuwa inawezekana kwamba ni wazazi wake waliopanga jambo hili.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pengine na wanachama wa UPRONA,wameleza kuwa huu ni mpango wa wazazi wa mtoto huyu wanaodhamiria kuonyesha kwamba ni wafuasi dhati wa chama tawala CNDD-FDD.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa upande wa uongozi wa chama cha CNDD-FDD kwenye koa wa Ngozi wametangazia VOA kuwa hawana lolote la kusema kuhusu kisa hiki.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haya ni baada ya seriali ya Burundi kuanzisha mpango mpya wa kutoa fedha kwa nia zitakazotumiwa wakati wa uchaguzi wa rais  mwaka 2020.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.