kwamamaza 7

Burundi:Kuna shimo walipozikwa Wahutu na shimo zingine Watusi

0

Hayo karudiliwa katika mazungumzo yalio andaliwa na kundi linalo husika na umoja, apatanishi wa Warundi (CVR), walio shiriki walisema ya kuwa yawezekana kuwa kuna shimo ambazo walizika ndani kwa ujumla wahutu miaka 45 nenda.

Na kundi hilo kuhusika wametangaza ya kuwa wanakwenda kufanya uchunguzi na kutafuta sehemu mbali mbali katika nchi.

Aloys Batungwanayo, alifanya utafiti kuhusu shimo hizo ya ujumla Burundi na akasema ya kuwa mwaka wa 1962 palikuwepo mauaji tofauti na Warundi wengi walifariki.

Alisema ya kuwa kuna shimo ambazo walizika ndani Watusi peke yao na shimo ambazo walizika ndani Wahutu peke yao na huwezekana kuwa kuna shimo ambazo Wahutu na Watusi wamo ndani pamoja.

BBC husema ya kuwa baada ya kifo cha rais Melchior Ndadaye mwaka wa 1993, watu wengi waliuawa na wakazikwa katika mashimo ya pamoja.

Askofu Jean Louis naye alikuwa katika maongezi na alisema ni raisi kuwapatanisha Warundi bila kupitia mahakama. Alitoa mfano wa Jimbo la Ruyigi akisema ya kuwa wakaaji walijiunga kupitia msaada wa kanisa katolika.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.