Swahili
Home » Burundi: Watu wenye silaha wameshambulia kambi la jeshi la Mukoni
HABARI MPYA

Burundi: Watu wenye silaha wameshambulia kambi la jeshi la Mukoni

Taarifa kutoka Burundi husema kuwa usiku wa leo watu ambao walikua na silaha walishambulia kambi la askari jeshi la Mukoni , jima la Muyinga.

Baada ya shambulio hili husemwa kuwa watu kazaa walikamata wakiwafikilia kuhusika na shambilo hilo la Muyinga, na wanaohusika na haki za binadamu wapo na wasiwasi ya kuwa kuna watu bila hatia waweza kamatwa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

SOS Media husema kuwa sauti kubwa ya lisasi ilianza kabu saa mbili na dakika 15 za usiku, ila hawakutangaza waliofariki ao kujeruhiwa.

Gavana wa jimbo hilo, Aline Manirabarusha, amehakikisha na kusema kuwa taarifa hio niya ukweli, akisema kuwa watu walijaribu kushambulia kambi la jeshi la Mukoni, ila walikamata silaha 4, na nyumba za sehemu hio katika musaka ili kutafuta wahusika kama vile husema chama cha kiraia.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com