kwamamaza 7

Burundi: Washutumiwa 8 kushambulia kambi la jeshi walipigwa mijeledi

0

[xyz-ihs snippet=”google”]

Watu wanane ambao hushutumiwa kushambulia kambi la jeshi la Mukoni tarehe 23Januari Mutarama 2017 walipigwa mijeledi na polisi ya Burundi jana tarehe 25 Januari 2017

Kati yao watano walikamatwa hiyo siku ya ushambuliaji, wengine watatu walikamatwa tarehe 25, kati ya wale 5 wa mbele 3 wao ni askari jeshi wa zamani na wawili ni jeshi wa sasa kati kambi hilo.

Msemaji wa polisi Burundi, Pierre Nkurikiye, alifafanua kuwa wengine watatu ni wakaaji wa Mutako na Taba wote wa jimbo la Gitega.

Nkurikiye amesema pia kuwa katika msako huo walikamata viatu vya askari, koti za kukinga mvua, na dawa za kulevya za aina ya cannabis.

Husemwa pia kua tarehe 11 Disemba 2015, kulikuwa tena shambulio kwenye kambi la jeshi Bujumbura na wapatao 87 wakafariki kama vile alifafanua msemaji wa jeshi Burundi, Col Gaspard Baratuza.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.