kwamamaza 7

Burundi: Wapinzani waambiwa “ magego yenu yataondolewa”

0

Vibarua vimepatikana  katika chuo kikuu cha Burundi eneo la Mutanda vikisema kwamba wapinzani wataondolewa magego ili kuwashawishi kufuata mtindo wa kisiasa wa utawala wa Rais Nkurunziza.

Wanafunzi wametangazia Ub News wanadani  kuwa vijana wa chama tawala , CNDD FDD ndio waliofanya hili.

Kwenye hivi vibarua kumeandikwa” Wapinzani ni wengi humu chuoni,tutawarekebisha,tuliikomboa nchi na hatuwezi kuacha.Tutaondoa magego yenu”

“ Nyinyi ni wengi lakini tutawarekebisha” barua zinasema

Barua zisizotiliwa saini ambazo zimepatikana chuoni

Pia,mwezi  Aprili vijana wa CNDD FDD walionekana  wakiwasisilisha ujumbe wa kuwapachika mimba wanawake na waschana ambao ni wapinzani, maoni ambayo mashilika ya kimataifa walipiga marufuku.

Kwa sasa, serikali ya Burundi haijafunguka lolote  kuhusu hili tukio la chuoni humo.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.