kwamamaza 7

Burundi: Wanajeshi 4 waliohusika na kifo cha mbunge Hafsa Mossi watafikishwa mahakamani

0

Watu wanne ambao husemwa kuwa walihusika na kifo cha mbunge marehemu Hafsa Mossi aliyekuwa mwakilishi wa Burundi katika kikao cha mabunge wa Jumuia ya Afrika ya mashariki (EALA), watafikishwa mahakamani kesho juma nne kwenye mahakama makuu huko Muramvya.

Marehemu Hafsa Mossi aliuawa akifyatuliwa lisasi na watu wawili tarehe 13 Julai 2016 alipo toka kwake katika wilaya ya Gihosha katika mji wa Bujumbura, na ndiye mwana siasa wa ngazi ya juu tangu mzozo nchini Burundi kuanza mwezi April 2015 aliye uaawa.

Wanao shutumiwa na mauaji ya marehemu jinsi walivyo wane ni wana jeshi wa Burundi ni ndio hao, Lt Eric Ndayishimiye, Claude Chandelle Mfuranzima, Jean Baptiste Ntirandekura pamoja na Ernest Sinzinkayo.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Wahusika wa kifo cha mbunge Hafsa Mossi hushutumiwa pia na mahakama kuwa wanavamia na kuvuruga usalama pia kuwa na mahusiano ya karibu na wapiganaji nchini Burundi.

Washutumiwa walikana makosa yote wanayo shitakiwa wakati wendesha mashtaka walipo kuwa wakifikiria ya kua kama waweza achiliwa kwa muda na kuendelea na uchunguzi wakiwa nje ya gereza.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.