kwamamaza 7

Burundi: Serikali inaomba Gen. Niyombare na wenzake kukamatwa

0

Kwenye orodha ya walio alikwa na mpatanishi katika serikali ya Burundi kuna hata wale ambao serikali inatafutisha, mahakama makuu ya Burundi imeomba washutumia kugeuza utawala wa rais Nkurunziza kukamatwa.

Agnès Bangiricenge, msemaji wa mahakama makuu, amesema ya kuwa ni vema wakamatwe na kufikishwa mahakamani, wote wakiwa 34, wana jeshi na wana polisi 12, na wanasiasa 21, pamoja na wanahabari na wengine. Anaendelea na kusema ya kua nchi ambazo zinawaweka kuwashika na kuwafikishia serikali ya Burundi.

Tangu mapinduzi kushindwa tarehe 13 Mei 2015, Gen Niyombare hajaonekana hadi sasa, na wasiwasi ni sababu hawajui mahali yupo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hata kama serikali inatafutisha Niyombare, Marekani nayo huwatafutisha huo jeshi na Alain Guillaume Bunyoni, waziri wa usalama, Marekenai husema ya kuwa wakati wa utawala wa Bunyoni, polisi na vijana wengine wa imbonerakure walivamia watu kwa kuwaua na kuwafunga wapinzani wa serikali.

Mwengine ni Godefroid Bizimana, kiongozi mwakilishi wa polisi ya Burundi na anashutumiwa mamoja na Bunyoni.

Gen Niyombare alihusika na upelelezi Burundi, anashutumiwa kuvamia amani, usalama Burundi, kuongoza walio jaribu kugeuza utawala wa Nkurunziza.

Mwengine ni Gen Cyrille Ndayirukiye aliye kuwa waziri wa ulinzi, hivi anafungwa, alikamatwa wakati wengine walikimbia baada ya kushindwa kupindua Nkurunziza.

Marekani alipo amua kuazibu haikuzuru wanani, ila iliamua kwa ujumla wapinzani na wenye kuwa katika utawala, ijapo kuwa serikali inakanusha yale yanayoshutumiwa Bunyoni na Godefroid Bizimana wenye kuwa katika uongozi wa serikali.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.