[ad id=”72″]

Mwezi Disemba 2016, rais Nkurunziza wa Burundi amewafukuza maafisa 3 pakiwemo  Col Adolphe Manirakiza aliyekuwa kiongozi wa MONUSCA huko Centrafrica aliyefukuzwa akishutumiwa kutofanya uwajibu wake.

Tarehe 22 Disemba 2016 ndipo rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kama jemadari mkuu wa jeshi la Burundi alitia mhuri ya kufukuza wanajeshi 3 katika jeshi la Burundi.

Walio fukuzwa ni Colonel Adolphe Manirakiza alikuwa msemaji wa jeshi la Burundi,na akawa msemaji wa Jeshi la umoja wa mataifa katika utumwa wa amani Centrafrica MINUSCA wengine ni Lt.Col Aimable Habiyambere na Kapiteni Emmanuel Nsavyimana.

Colonel Manirakiza yeye amesema kwamba tangazo hilo limetiwa mhuri kabla tayari walikuwa wameaga kazi yao ya kijeshi kwani alijua ya kwamba akifuka Burundi kutoka Centrafrica hali itakuwa mbaya kama vile husema sauati ya marekani.

Col Adolphe asema tena kwamba aliamini ya kwamba kusihi kwake na kuomba kuacha kazi ya kijeshi rais Nkurunziza angelikubali bila shaka kama vile sheria inamuruhusu na kwa hio ndio sababu hakuenda Burundi akaomba makimbilio katika nchi zingine.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.