kwamamaza 7

Burundi: Muda kitambo baada ya kifo cha waziri Niyonkuru wengi 3 wameuawa

0

[ad id=”72″]

Baada ya kuuawa kwa waziri Niyonkuru Emmanuel , wengine watu tatu waliuawa wakati wa kusherehe siku ya mwaka mpya nchini Burundi.

Juma inne tarehe 3 Januari 2017 ndipo polisi ya Burundi imetangaza kuwa wameweka mbaroni watu 7 ambao hushutumiwa kuhusika na mauaji ya watu wawili wakati wa siku kuu ya mwaka mpya ua upelelezi huendelea kwani kuna wengine wawili ambao hushotwa kidole kuhusika na mauaji hayo.

Musemaji makamu wa polisi Moise Nkurunziza asema kua walioshikwa walikua na vifaa vya kijeshi na polisi pakiwemo silaha, mavazi, grunedi na mengine, na amesema pia hao watu waliuawa kupiti lisasi kwa usiku huo ila haikujulikana mapema.

Mwengine mtu aliuawa ni mwanamke mwenye umri wa miaka 30, aliuawa kupitia uma, na mshutumia amekubali kama ni yeye, ila hakutaja aliye mutuma kufanya mauaji hayo.

Tarehe 3 Januari 2017 ndipo mahakama ya Gitega ilihukumu bwana Leonard  kufungwa miaka 30 baada ya kuhakikisha kumuua huo mwanamke na kumutendea maovu.

Baada ya mauaji hayo yalio fanywa kwa kumaliza mwaka wa 2016 nchini Burundi , wengine huendelea kukamatwa na kufungwa, na kwa hio aliyekuwa mke wa waziri na wengine wane, mfanya biashara wa mkahawa ambapo waziri alitoka wote wapo mbaroni.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.