kwamamaza 7

Burundi: Mtoto mwenye umri wa miaka 14 alipigwa kisu kifuani na akafariki

0

Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 14 aliye julikana kwa jina la Ciza aliuaawa juma moshi tarehe 4 Mach 2017 na watu wasio julikana wakati alikuwa kazini ndani ya bar.

SOS Burundi imetangaza ya kuwa mtoto huo alikuwa katika choo ya bar alipo fanya kazi sehemu ya Rusiga mjini Rugombo jimbo Cibitoke.

Polisi ya Burundi husema ya kuwa alipigwa kisu kufuani, na hivi hufanya upelelezi na mwenyeji wa bar amekamatwa wakati upelelezi hufanywa.

Wakati mauaji huendelea Burundi, jamii kuhusika na haki za binadamu huomba serikali ya Burundi kutafuta suluhisho la hayo, inaombwa kusimamisha matendo maovu ya vijana wa imbonerakure wa chama tawala CNDD-FDD kwa kuwa hushotwa kidole kuhusika na uharibifu na kuvamia haki za binadamu.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.