kwamamaza 7

Burundi :Mashabiki 11 wa chama FNL wametiwa mbaroni

0

Mashabiki 11 wa chama FNL kinacho ongozwa na makamu rais wa kwanza wa bunge, Agathon Rwasa  wametiwa mbaroni katika wilaya ya Nyanza, jimbo la Makamba.

Mbunge mwakilishi wa jimbo la Makamba katika bunge la taifa Burundi, Rénovat Nduwumwami alisema ya kwamba walikamatwa na polisi pamoja na vijana mashabiki wa chama tawala (imbonerakure), na msako wa kuwakamata ulianza wiki hii na huendelea.

Akiendela na kusema ya kuwa wanao kamatwa wanashutumiwa kufanya mikutano kinyume na sheria juma pili tarehe 5 Mach 2017, ila anahamasisha ya kuwa  walio kamatwa hawakukuwa katika mkutano kwa kuwa walikuwa wamekwenda kufariji rafiki yao katika wilaya ya Muyange aliyepatwa na msiba  wa watoto wawili walio kufa wakizaliwa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rénovat Nduwumwami anahamasisha na kusema yanayo fanyika kwa ajili ya wana chama cha Agathon Rwasa katika wilaya ya Nyanza kuwa unyanyasaji na anaomba kuwaachilia bila shaka.

Redio Saudi ya Amerika ilijaribu kumsemesha msemaji wa polisi kuhusu swala hilo ila haikiwezekana, na taarifa husema ya kwamba wahusika walikamatwa kwa ajili ya upelelezi wakishumiwa kuvamia hali ya usalama Burundi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.