Swahili
Home » Burundi kwa njia ya kugeuza katiba ili rais Nkurunziza atawale milele
HABARI MPYA

Burundi kwa njia ya kugeuza katiba ili rais Nkurunziza atawale milele

Kwa siku chache nenda imetangazwa kwamba mwaka wa 2014 ulifanyika mkutano kwa ajili ya kumpa rais Nkurunziza utawala hadi yeye mwenyewe ajisikie kuachilia, hasa serikali inatafuta mbinu ya kugeuza katiba.

Tarehe 16 Novemba 2016 rais Nkurunziza alikuwa na viongozi pamoja na mawaziri ili kuchunguza namna gani katiba itageuzwa na waliunda kundi la kuhusika na hayo.

Wazo la kugeuza katiba lilitoka katika mkutano wa mabunge ila mbunge anayejulikana kwa jina la Bonaventure Niyoyankana yeye alipuuzia.

[ad id=”72″]

Askofu Justin Nzoyinsaba naye pia amesema kwamba sharti katiba igeuzwe na kiongozi wa nchi aongoze hadi siku anachoka wala wakati raia wanamkataa.

Wazo hilo limekuja wakati serikali ya Burundi haija pata suluhisho ili kutatua matatizo kati ya chama tawala cha CNDD-FDD  na wapinzani wao, na zaidi ya 250.000 wakiwa ukimbizini pia zaidi ya 500 walipoteza maisha.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com