kwamamaza 7

Burundi: Kundi 2 za Imbonerakure walipambana wawili wakafariki

0

Watu wawili wa vijana mashabiki wa chama tawala CNDD-FDD walifariki baada ya kundi mbili za hicho chama kupambana wakiwa kwenye ulinzi wa usalama usiku wa tarehe 12 Mach 2017, kundi moja ni ya wilaya ya Mubimbi lengine likiwa la wilaya ya Mutimbuzi jimbo la Bujumbura na wote walikuwa na mapanga.

Taarifa kutoka wakaaji wa wilaya ya Mutimbuzi husema ya kwamba mapigano kati ya Imbonerakure za Gikunga wilaya Matyazo hapo Mubimbi na zenye kutoka Mutimbuzi walipambana usiku wa juma pili nenda na wote walikuwa kwenye ulinzi wa usalama usiku huo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ajulikana kwa jina la Karegeya alijeruhiwa kichwani, Sindimwo naye kajeruhiwa vikali kama vile husema gazeti la RPA.

Wakaaji wa sehemu hio ya jimbo la Bujumbura wanaomba viongozi wa imbonerakure waliowafundisha uharibifu kuwafundisha tena jinsi ya kulinda amani na namna ya kuishi katika usalama kwani ikiendelea hivyo hata nyumba zitaweza bomolewa.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.