kwamamaza 7

Burundi: Jeshi alieua kiongozi wake ameazibiwa kufungwa miaka 20

0

Mahakama makuu ya Muyinga nchini Burundi wameazibu Caporal aliyeshutumiwa kuua kiongozi wake mwenye cheo cha Major kufungwa miaka 20.

Wiki nenda ndipo mwendesha mashtaka Nshimirimana Déogratias alitangaza kuwa caporal Pierre Ntahomvukiye ajulikanaye kwa jina la Kadogo kufungwa miaka 20 aliyekuwa katika kambi la Jeshi la Mutakura, jimbo la Cankuzo.

Alishutumiwa kumuua Major Karashira Dieudonné tarehe 25 Januari 2017 baada ya kupambana wakati kiongozi aliingia katika chumba chake akitafuta kumukamata kama vile husema gazeti Agnews.

Alipo kuwa mahakamani alikubali kuwa alimuua bila makusudi eti “sikutayarisha lolote kuhusu haya”.

Taarifa husema ya kuwa hakuazibiwa kufungwa maisha kwa sababu hakuchosha mahakama tangu upelelezi kuanza.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.