kwamamaza 7

Burundi imejulisha Umoja wa Mataifa maamzi ya mwisho

0

Jana tarehe 27 Oktoba 2016 ndipo nchi ya Burundi kajulisha Umoja wa Mataifa kama nchi ya Burundi hayupo hata kamwe miongoni mwa nchi zenye kuwa chini ya utawala wa Mahakama ya kimataifa yenye kua na kikao la Haye nchini Uholanzi.

Barua ambayo husema hayo yote imepelekwa na waziri wa Ukweli Aimee Laurentine na kuyikabizi katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki –Moon

Serikali ya rais Nkurunziza imeamua kuondoka katika nchi zinazo unda ICC wakati mtume wa Umoja wa mataifa alikua akiendelea na maongezi ili kurudisha usalama nchini Burundi.

ICC yaendelea kukumbwa na tatizo la nchi nyingi ambazo huendelea kuaga na kutoka sana nchi za bara la Afrika ambazo huwashutumu ubaguzi wa kuvamia viongozi wa Afrika bila kuwatazama wazungu.

Munamo mwezi wa April ndipo ICC katangaza kwamba inakwenda kuanza upelelezi zidi ya migogoro inayofanyika nchi Burundi tangu Januari 2015 wakati rais Nkurunziza alipo amua kuwania muhura wa tatu.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.