kwamamaza 7

Burundi: Hawakualikwa kwenye maongezi ya upatanishi

0

Hata kama serikali ya Burundi juma tanu walisema ya kuwa hawatashiriki maongezi ya upatanishi na wapinzani, mpatanishi wao Benjamin Mkapa anasema ya kuwa hawakualikwa katika maongezi.

Alhamisi mapema tarehe 16 Februari ilitarajiwa maongezi kuanza, mpatanishi alionana mwanzo na walio kuwa maraisi, “Sylvestre Ntibantunganya, Domitien Ndayizeye na Pierre Buyoya” aliye fika hio asubui.

Mpatanishi Benjamin Mkapa alisema ya kuwa lengo la maongezi ni kutafuta suluhisho jinsi wanasiasa waliokimbi nchi yao warejee Burundi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Serikali ya Burundi husema ya kuwa walipata mualiko tarehe 13 Februari, ila mpatanishi yeye husema kwamba serikali ya Burundi haikualikwa kama vile gazeti “Iwacu” husema. Na taarifa husema ya kuwa wajumbe wa CNDD-FDD wanasubiriwa Arusha.

Mambo mapya yalitokea mahali pa maongezi ni kuwa watu 3 walikuwa wakiandamana wakiwa bendera la Burundi na kusema Waswahili wakubaliwe kama kabila, ila waliondolewa na polisi na kutiwa mbaroni.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.