kwamamaza 7

Burundi: CNARED imemuomba Mkapa kuacha kazi ya upatanishi

0

[ad id=”72″]

Aliyekua mpatanishi wa serikali ya Burundi na wapinzani anashitakiwa kuwa  na upendeleo kwani yeye husema kama serikali ya rais Nkurunziza  inaongoza kufuatana na sheria, na huonekana kua upatanishi hurudi tena nyuma.

Tangua Mkapa kupewa majukumu ya kuwa mpatanishi kati ya wapinzi na serikali ya Burundi mwezi Machi, ameshindwa kuwaweka kwenye meza moja kuhusu maongezi halisi.

Mwezi Julai wakati alipo jaribu kuwapatanisha kwa maongezi serikali ilikataa na kutoka, hasa juma tano alikusudia kuamsha akiomba rais Nkurunzira kukubali maongezi na wale ambao yeye huwaita wanamgambo.

Kwa maongezi na utangazaji habari, Mkapa aliwaambia wapinzani wa serikali ya Burundi kutafuta mbinu ya kutayarifa uchaguzi wa rais utaofanyika mwaka wa 2020 katika amani na kuyasahau yaliyofanyika mwaka wa 2015.

[ad id=”72″]

Mpatanishi Mkapa yeye husema kwamba Rais Nkurunziza ndie rais wa nchi anayekubaliwa kwa sababu alichaguliwa na raia wa Burundi.

Mkapa eti: “wanaoshimamia nchi zao huletea Nkurunziza vibarua, UN imehakikisha kwamba yeye ndiye mkuu wanchi, tunapoteza muda kwa swali ambalo lilitatuliwa zamani za kale”.

Maneno hayo Mkapa aliyoyasema yamekasirikisha kusanyiko la “CNARED” ambalo huundwa na wapinzani wote wenye walipinga kuchaguliwa mara ya tatu ya rais Nkurunziza, na wameomba Umoja wa mataifa kuwa mpatanishi kataika shida ambalo huishi tangu April mwaka wa 2015.

CNARED imeandikia UN na kusema kwamba safari ya Mkapa ya upatanishi imekoma na analazimishwa kuacha hayo majukumu ya upatanishi.

Radio VOA imemuuliza Jean Minani wa CNARED yale watayo yafanya mwezi January 2017 wakati Mkapa atawaalika kwenye maongezi, akajibu nakusema kwamba hakutakuwa suluhisho kwa sababu Mkapa hakubali tatizo lililo Burundi, yeye husema kwamba Nkurunziza ni rais anayekubaliwa.

itangazo

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.