Swahili
Home » Burera:Wakazi wapatiwa maji safi baada ya muda mrefu wakichota nchini Uganda
HABARI MPYA

Burera:Wakazi wapatiwa maji safi baada ya muda mrefu wakichota nchini Uganda

Gavana Gatabazi akifungulia maji wakazi

Wakazi wa vijiji vya tarafa ya Kivuye,kaskazini mwa nchi wamepata maji safi baada ya muda mrefu wakichota nchini jirani,Uganda.

Gavana Gatabazi akifungulia maji wakazi

Wakazi wametangaza kwamba ilikuwa hali ngumu kuishi bila maji na kuwa kuchota nchini Uganda haikuwa rahisi kwa kuwa mala nyingine walikuwa wakiwakatalia kuchota .

Viongozi wakishangilia kitendo hiki

Katibu mtendaji wa tarafa ya Kivuye,Ignace Mugiraneza ametangaza kuwa maji yamepatikana rasmi juma tatu wiki hii na kuwa yamefunguliwa wakazi leo na Gavana wa mkoa wa kaskazini,Bw Jean Marie Vianney.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Gavana Gatabazi ameleza kwamba hili ni tatizo ambalo lingekuwa lilitatuliwa miaka  iliyopita na kuongeza kuwa wamefanya lolote ili maji haya yasije yakakosekana tena.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Serikali ya Rwanda ina lengo la kutoa maji kwa Wanyarwanda asilimia mia mnamo mwaka 2024.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com