Swahili
Home » Burera: Raia wanatembea mamiya ya kilometa wakielekea mpaka na Uganda
HABARI

Burera: Raia wanatembea mamiya ya kilometa wakielekea mpaka na Uganda

Wakaaji wenye kata ya Kinyababa, wilaya ya Burera wanasema ya kuwa na shida la mpaka kati ya Rwanda na Uganda usio kubaliwa na sheria na wanaogopa kuvuka ili maisha yao yasiwe hatarini.

Wanasema ya kuwa mpaka mmoja unao kubaliwa ni wa Cyanika na kufika huko ni mbazi mno, huacha wamoja wanajaribu kupita njia panya hasa wanaomba ngazi zinazo husika kuwasaidia.

Kwa uwingi ni wakaaji wa kiini ya Rutovu, kata ya Kinyababa, wilaya ya Burera wanaomba kurahisishiwa ili waweze kuwa na uwasiliano wa karibu na wajirani wa nchi jirani kwa njia ya biashara na mengine, hapo itasaidia wanao pita njia panya kuacha kwa sababu njia panya ina matokeo mabaya wakati wanakamatwa ngambo wanaweza hata kupotea bila kurudi manyumbani.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi wa wilaya ya Burera, Uwambajemariya Frolence anasema ya kuwa ni vema kupita njia halali na kupana anuani yako kwa kua hata ukipatwa na shida itakuwa raisi kujua.

Eti”tumeanza kuyafikilia ili tuone kama tunaweza kufungua mipaka midogo ili wakaaji waweze kuvuka wakipana anuani zao wakati wanapo kwenda ao kutoka katika nchi jirani, na wakati haya bado sherti kutumia mpaka unao kubaliwa.

Katika taka 17 zinazo unda wilaya ya Burera, kata 8 zipo kwenye mpaka na wilaya mbili za Uganda kama Kabale na Kisoro, na katika kata hizo 8, mbili ndizo zenye kuwa na mipaka inayokubaliwa pakiwemo mpaka kimataifa wa Cyanika, kata ya Cyanika na Buhita ya kata ya Kivuye.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com