kwamamaza 7

Bugesera: Polisi imekamata pikipiki 2 zilizo ibwa zikielekea Burundi

0

Katika wilaya ya Busegera polisi ya Rwanda ilikamata pikipiki 2 zilizoibwa kwa nyakati tofauti na kupewa wenyeji, zilikamatiwa kwa msaada wa raia wakati zilikuwa zinaelekea Burundi na wanao fikiliwa kuhusika wametiwa mbaroni.

Pikipiki zilizopatikana ni aina ya Suzuki TF GPM 055C iliibwa Disemba mwaka nenda wa 2016. Iliibwa kituo cha afya cha Rwesero wilaya ya Gicumbi, na ilikamatwa na polisii ya stesheni ya Rweru wakati watu ambao hawajajulikana walitafuta kuipeleka Burundi wakakimbia na upelelezi ulionyesha ya kua ni ya kituo cha afya cha Rwesero.

Nyingine ni TVS RD 346 M iliibwa Birembo, tarafa ya Kinyinya, wilaya ya Gasabo, ilikamatwa kwenye mpaka wa Nemba, tarafa ya Rweru ikikwenda kuvuka, na ilikuwa na Habimana Alexis wa miaka 30  na Ntahonkiriye Bernard mwenye umri wa miaka 29 na ilikuwa imepewa namba RD 629 T.

Superintendent of Police (Supt.) Ildephonse Rutagambwa, kiongozi wa polisi wilaya ya Bugesera anashukuru wakaaji waliohusika kwa kumata hizo pikipiki kwa kuwa walitoa taarifa mapema.

SP Rutagambwa eti:” walikamatwa baada ya kwenda kwenye bar wakiwa na pikipiki na kuendelea kuwaita watakao zipeleka na kuwaambia jinsi watakavyo fanya, ndipo raia wakakuwa na na mashaka wakatueleza na mwisho tukawakamata”.

Alipo pewa pikipiki ya kituo cha afya, bikira Uwamurera Thacienne  eti “nakosa maneno ya shukrani kwa ajili ya polisi ya Rwanda kwa kukamata pikipiki yangu iliyoibwa na imenifikia”.

Polisi ya Rwanda wilaya ya Bugesera inashukuru watu wote wanao husika kwa kuzuia na kupiganisha makosa wakitoa taarifa na wakosefu wanakamatiwa.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.