Emmanuel Niyomugabo alianguka chooni na kufariki jana 28 November 2016 usiku alipokuwa anatoroka kundi la doria ya usiku huko wilayani Bugesera, katani Nyamata.

Raia wa sehemu marehemu Emmanuel afarikia husema kwamba alikuwa anaenda kuiba katika kijiji cha Gatare na kukimbia mno baada ya kugunduliwa na doria ya usiku, ndipo alianguka katika shimo la kutumiwa kama choo.

Raia mmoja alisema kwamba walisogelea ili kumwokoa pamoja na shirika za usalama zikafika lakini aliinuliwa alipoisha fariki dunia.

[ad id=”72″]

Msemaji wa polisi mkoani mashariki IP Emmanuel Kayigi, katika maongezi ya simu na Bwiza.com alithibitisha kifo chake Niyomugabo Emmanuel; ijapokuwa hakutoa habari zaidi.

Uchunguzi kuhusu kifo chake umeendelea na maiti yamebebwa na kuperekwa kwenye hospitali ya ADEPR huko mjini Nyamata, wilayani Bugesera; Mkoa wa Mashariki.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter 

@Bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.