kwamamaza 7

Bruce Melody akieleza sababu ya kutoimba pamoja na Jason Derulo

0

Bruce Melody ambaye ni msaani maarufu hapa Rwanda ni mojawapo wa wanamziki 20 waliwowahi kuchaguliwa na Coke Studio katika mradi wao wakuwasaidia kuendelea wasanii wa mziki wa Afrika.

Amesafiri kwenda Kenya tarehe 21 Juni 2017 katika mradi wa kandarasi aliyosaini na Studio hii. Juhudi kama hizi za Coke Studio zinafanyika kila mwaka zikilenga kuwakutatanisha wasini wadogo na wasani maarufu.

Bruce Melody akihojiwa na Bwiza.com amesema kwamba kutoimba na Jason Derulo si tatizo kwake na kufafanua kuwa haikuwa katika kandarasi waliyosaini pamoja na Coke Studio

“kila mtu husaini na Coke Studio kandarasi yake pekee, hakuna kandarasi ya pamoja, ndio sababu kila juhudi inafuatia kandarasi Fulani.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa upande wangu nilikwenda hapo tukakubaliana mambo Fulani na wakaniambia wakinitaka wataniita ni hivyo ilivyo kutoimba pamoja na Jason Derulo. Hapa nadhani inaeleweka kwa kuwa tulikuwa jumla ya 20 na 11 ndio waliowahi kuimba pamoja na Jason Derulo” asema Bruce Melody

Bruce Melody amekuwa msaani wa kwanza kutoka Rwanda kualikwa katika mradi na Coke Studio.

Mradi wake na studio hii ni pamoja na kutunga wimbo kwa sauti na video akimshrikisha rappa wa Kenya Khaligraph ambao umetunzwa na producer Darlington kutoka Afrika Kusini, wimbo huyu ndio utachezewa katika vipindi vya Redio na Televisheni zipatazo 25 kutoka nchi mbali mbali za Afrika.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.