Rais Paul Kagame amemchagua waziri mkuu,Dr.Edouard Ngirente mwenye umri wa miaka 45 aliyekuwa ofisa wa benki ya dunia nchini marekani kwa kuchukua nafasi ya Anastase Murekezi.

Tangazo la serikali ya Rwanda

Waziri mkuu Dr.Edouard Ngirente kupitia twitter amemshukuru rais Kagame kwa kumpa nafasi.

Ujumbe wake waziri mkuu akimshukuru rais Kagame

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina