Swahili
Home » Bodi ya usalama nchini Burundi yakosoa hotuba “zinazoiudhi” za viongozi wa Rwanda
HABARI MPYA

Bodi ya usalama nchini Burundi yakosoa hotuba “zinazoiudhi” za viongozi wa Rwanda

Lt. Jen. Silas Ntigurirwa

Bodi ya usalama nchini Burundi imetangaza hotuba za viongozi wa Rwanda zinapaka masizi serikali ya Burundi.

Hii bodi imepiga marufuku vitendo vya kuwafukuza Warundi nchini Rwanda na kupokonywa  mali yao.

Mkurugenzi wa hii bodi, Luteni Jen.  Silas Ntigurirwa, kama ilivyotangaza BBC,  kupitia tangazo la tarehe 22  Julai, ameeleza  Rwanda haikufuata sheria za kimataifa.

“Bodi Kuu ya usalama imepiga marufuku hizi tabia za kutofuata sheria za kimataifa husika na mipaka na haki za binadamu”

Hata hivyo, Jen. hakueleza waziwazi hotuba gani iliyoudhi Burundi.

Kwa hayo, Hivi karibuni serikali ya Rwanda ilitangaza wanamgambo walishambulia Wilayani Nyaruguru kutoka Burundi.

Pengine,serikali y Burundi ilipiga marufuku haya madai kwa kusema haya hayakutokea.

Kwa sasa viongozi wa Rwanda hawajatangaza lolote kuhusu haya madai.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com