kwamamaza 7

Biyoncé ajifungua mapacha

0

Habari zimeenea katika vyombo vya habari vya Marekani kwamba Biyoncé amejifungua mapacha

Habari zilizotangazwa na magazeti kama Entertainment weekly, US weekly na People zimethibisha habari hii ya kwamba Biyoncé amejifungua mapacha ila hawakueleza mapacha hao ni wa jinsia gani.

Biyoncé alitangazwa hivi karibuni na jarida la forbes kama mutumbuizaja tajiri wa pili baada ya Sean Diddy Combs katika orodha ya maasta tajiri ya mwaka huu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Biyoncé mke wa rappa Jay-Z ambaye walimzaa mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitano hadi sasa walimpa jina la Blue Ivy, alichapisha kwenye ukurasa wake wa instagram katika mwezi wa pili kwamba yeye ni mjamzito,

Kwa upande wa Jay-Z ama Biyoncé hakuna yeyote aliyethibisha habari hii. Aidha Biyoncé baada ya kutangaza kuwa ni mjamzito aliweka hadharani picha zake akiwa akioga na akiwa ameegamia kitanda na maua mengi karibu.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.