kwamamaza 7

Binti wa rais Kagame alionyesha la kufanya ili kuongoa ukimwi

0

Ange Kagame, binti wa rais wa jamhuri ya Rwanda, kwenye siku kuu kimataifa kwa ajili ya wanawake alitoa ujumbe unao weza saidia mataifa kwa ajili ya kuongoa daima hali mpya ya ukimi sana kwa wasichana na wanawake.

Kwenye maandiko yake juu ya ukarasa wa kituo cha kupiganisha ukimwi, malaria na kifua kikuu, The Global Fund, alisema ya kuwa alikomaa katika bara la Afrika mwaka wa 1990, wakati katika bara kuliwa mambo mengi magumu, kama umasikini, vita, mauaji ya kiasi na magonjwa vilivyo sababisha vifo vya wengi.

Ila katika karne mumpya, Afrika ilianza kujenga amani pole pole, kwa ngambo ya uchumi na afia kwa wakaaji wengi sana. Alisema hata kama bara ina matumaini, vijana wenye kimo chake wanasongwa sana na madhi ya ukimwi kwa kuwa wengi wanao fariki ni kati ya miaka 10 na 19, wadada na wakaka karibu 7500 huambukizwa ukimwi kila wiki, 80% wanao ambukizwa ni wajinsia ya kike.

Aliomba mataifa na wengine wanao husika na maendeleo kusaidiana na vijana kwa ajili ya kupiganisha usambasaji wa ukimwi na kuwakilisha maisha bora siku za usoni.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ange Kagame alisema ni vigumu kushinda vita ya ukimwi mahali kunapo ishi watu wenu mno katika bara la Afrika kama vijana hawapewi bahati ya kupiganisha usambasaji.

Eti : “wakati ni huu ili vijana wasikie uito, wasimame na kutia nguvu pamoja na serikali na wengine katika mambo ya kupiganisha usambasaji wa ukimwi bila kutambusha 2020”.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com, chanzo:imvaho

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.