kwamamaza 7

Binti Rwigara Assinapol akosoa tukio la  kuuza  mnada badhi ya mali ya familia yao

0

Bin Rwigara Assinapol,Anne Rwigara ameweka wazi kwamba analaumu tukio la kuuza mnada baadhi ya vifaa vya kiwanda cha sigara cha Premier Tobacco Company kwa kuwa mnada huu ni kinyume na sheria.

Anne Rwigara ambaye ni mkurugenzi wa kiwanda hiki ametangazia VOA kuwa jambo hili halikufuata kanuni husika.

“Mnada huu ni kinyume na sheria kwa kuwa kama bidhaa inayouzwa mnada ina bei juu ya frw miliyoni tatu hufanyiwa ‘expertise’,mwenye mali hujulishwa pamoja  na uamuzi wa mahakama.Hakuna uamuzi wa mahakama kwa kuwa kesi haijatokea” Anne Rwigara amesema

“Ule mnada hauna msingi,ni kinyume na kanuni.Ni mipango yao tu”ameongeza.

Anne Rwigara amendelea kusema kwamba wanataraji kushtaki mala nyingine kwa haraka kuonyesha mnada huu ni kinyume na kanuni

[xyz-ihs snippet=”google”]

“Ni saa 48 tu,tutakuwa mahakamani kuhusu hii kesi.Tangu mwezi Julai walipofunga kiwanda chetu hawajafanya jambo lolote la kutii kanuni”amendelea

Hili ni baada ya Bodi Kuu ya Nchini (RRA) kutoa tangazo la kuuza mnada mali yah ii familia juu ya kukwepa kulipa kodi frw biliyoni tano.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Inatarajiwa kuwa mnada utatokea tarehe 28 Machi 2018

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.