kwamamaza 7

Bila shaka UN na umoja wa Afrika wamehakikisha Mkapa kuwa mpatanishi wa Warundi

0

Siku chache nenda wapinzani wa Rais Nkurunziza wa Burundi walikwenda Tanzania kumuswali mpatanishi wao sababu gani alitoa matusi kwa ajili yao na kuonyesha ya kuwa yupo kwa upande wa rais Nkurunziza kubaki madarakani, UN na umoja wa Afrika wamesema kua Mkapa atazidi kuwa mpatanishi wao Burundi.

Hayo yanafuatana na kua hali ya mabishano yaendelea kuwa mabaya zaidi Burundi, na wapinzani hawataki rais Nkurunziza kuendelea na madaraka, na ndipo kaendea jumuiya ya Afrika ya Mashariki, na ndio Afrika ya Mashariki kaomba Umoja wa Afrika na umoja wa mataifa kuamua.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Tarehe 9 Disemba 2016, ndipo rais Mkapa alisema kuwa serikali ya Burundi inakubaliwa na sheria na wanao ona kuwa hawafai ni wapumbafu. Hapo ndipo wapinzani walienda Tanzania kumuliza sababu alisema ni wapumbafu.

Tatizo la mzozo Burundi lilianza mwaka wa 2015 wakati rais Nkurunzia aliamua kuwania kuongoza tena, na wapinzani kasema kuwa alipita kinyume na sheria la Burundi.

Zaidi ya watu 700 wamepoteza maisha pakiwemo viongozi wa nchi, askari jeshi, askari polisi, wakaaji na wengine, na maelfu wakiishi ukimbizini kwa ajili ya usalama mbovu katika nchi ya Burundi.

Hata kama mambo ni mabaya Burundi, umoja wa Afrika na UN, wamehakikisha Mkapa kubaki mpatanishi wa serikali ya Burundi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.