kwamamaza 7

Belgique: MICT ilishtuka kumushika Kabuga huko Waterloo akaepa

0

Mahakama kimataifa dhidi ya Rwanda waliamini kumukamata mufanya biashara Kabuga Felicien aliye shotewa kidole ya kuwa anaweza kuwa kwenye sherehe ya mazishi ya mke wake ila hakuonekana.

Taarifa kufikia bwiza.com husema ya kuwa tarehe 10 Februari jioni, nyumba ya jamii ya Kabuga ilioko Waterloo walivamiwa na watu wa usalama wakiongozwa na anaye husika na upelelezi kwa kumaliza masambo ya wahukumiwa walio achwa na mahakama ya TPIR akijulikana kwa jina la Michel Stassin.

Walipo fika hapo wamoja waliingia nyumbani kusaka wengine walibaki inje ya nymba na ndipo Michel Stassin alikuwa akiuliza wana jamii nafasi yupo na kuwambiya ni vema ajiripoti kwa kuwa hakuna tatizo lolote.

Taarifa ilikuwa ikisema ya kuwa yupo nyumbani na akifananisha na kuvaa kama mke ila walikuta mke mgeni ambaye alikuja kuwafariji katika msiba.

Baada ya kumukosa mahali hapo, haraka walikwenda kusaka katika nyumba ya binti yake ila hawakuona lolote.

Kabuga Felicien anashutumiwa kuhusika na mauaji ya Kimbari dhidi ya watusi mwaka wa 1994, akiwa mmoja kati ya kumi wanao tafutishwa na mahakama, ni mumoja pia wa walio unda redio ya RTLM iliyo samabaza mauaji wakati wa mauaji ya Kimbari.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.