kwamamaza 7

Baraza la Transform Africa 2017 litaongozwa na rais Paul Kagame

0

Baraza kuu kuhusu teknolojia litafanyika Rwanda tangu tarehe 10 hadi 12 Mei 2017 na litaongozwa na rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame, watakao shiriki ni zaidi ya 3000.

Kati yao patakuwemo wakuu wa nchi, wajuzi wa teknolojia, viongozi wa vituo pamoja na ngazi tofauti. Watazungumzi pia ushirikiano kati ya serikali na wafanya biashara kwa kuendeleza teknolojia katika bara la Afrika.

Hamadoun Toure, kiongozi wa Smart Africa, alitayarisha mkutano huo kwa ushirikiano na Rwanda, alisema mwaka huu watazungumzia maendeleo ya miji ya Afrika kwa sababu kuna uwingi wa watu barani Afrika.

Toure alisema ni sherti kuwe hakili kwa kutayarisha siku za usoni za miji ya Afrika, wakikazia maendeleo ya mambo ya msingi kupitia teknolojia.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Katika mkutano huo wataona mipango ya Afica Smart City Blueprint, namna wanatarajiya kuzua miji safi tena bora katika bara hii pamoja na Africa Smart Women Initiative inayotazamia upande wa wanawake katika ngazi ya teknolojia.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.