kwamamaza 7

Balozi wa Ujerumani nchini Rwanda ‘afukuzwa’

0

Balozi wa Ujerumani nchini Rwanda, Dk. Peter Woeste amerudishwa nchini kwao kwa juu ya linalosemekana kuwa kosa kubwa katika kazi yake.

Kwa mujibu wa taarifa za chombo cha habari nchini Ujerumani Welt.de, Peter Woeste alilerejea nyumbani kwao juma pili baada ya miaka miwili na nusu nchini Rwanda.

Taarifa hizi zinaendelea kusema kwamba huyu balozi kupitia email yake alituma ujumbe unaokosoa mno utawala wa serikali ya Rwanda.

Pengine,Christian Clages,  akiyekuwa Balozi wa Ujerumani nchini Rwanda mwaka 2008 alifukuzwa nchni humo juu ya kitendo cha kumkamata Afisa serikali  Luteni Kanuni, Rose Kabuye.

Makamu Waziri wa Mambo ya Ushirikiano na Mambo ya Nje, Amb. Olivier Nduhungirehe ameambia  Bwiza.com, Balozi Dr Peter Woeste hakufukuzwa.

“ Hatukumfukuza, tumetaka Ujerumani kubadili balozi wake nchini Rwanda.”

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.